Wazungu na Wabongo @Dinner

tatizo liko wapi hapa Boflo.....?
 
Last edited by a moderator:
tukutane leo nikuombe msamaha wa kupiga magoti

mmhh kuomba radhi mpaka mkutane private! Tena mkiwa mmepiga magoti, nna mashaka na unachokitaka,i،m keeping ma eyes open
 
unaweza kukuta hao wazungu ni wageni wa wabongo, hapo ni namna ya kuwaweka sawa (visitors) ili baadaye proposal yao (wabongo) isije kwama itakapowasilishwa
 
wabongo wamekalishwa chini

Hapo ninachoona hao wamatumbi wenyewe washamba tuu. Hata huku wadhungu washamba tunawaburuza tuu...kazi zao kutuletea coffee and kuinama tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…