Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Huwa najiuliza siku Raisi Magufuli akizinguana na Wazungu kwa kawaida huwa Wazungu wakizinguana na Viongozi wa Kiafrika huwa wanaanza kuwapiga stop Viongozi wa Kiafrika kutembelea nchi zao yaani Marekani na Ulaya , sasa hapa kwa Raisi Magu wetu itabidi waje na mbinu mpya kwa maana hana hata haja ya kwenda huko Ulaya na Marekani, kwanza kwa Magu wetu kama ingewezekana hata angetoka Ikulu akaishi kijijini na masikini wa TanZania na kuongoza nchi kutokea kijijini na siyo kwenye Majumba makubwa na viti vya kuzunguka kama alivyosema yeye mwenyewe!
Inabidi sasa Wazungu waje na mbimu mpya kabisa kwa maana ya kupiga ban kusafiri kwenda Ulaya kwanza ndiyo ataifurahia, itakuwa imemrahisishia kazi!
Inabidi sasa Wazungu waje na mbimu mpya kabisa kwa maana ya kupiga ban kusafiri kwenda Ulaya kwanza ndiyo ataifurahia, itakuwa imemrahisishia kazi!