Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Kwa kifupi hakuna upungufu wa nguvu za kiume...isipokuwa wanaume wamezidiwa na michuchu mingiEti hii imekaaje??
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila maniwe na aombe msamaha.. anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika...je kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini??
2 jamaa tangu hapo amekua mtu wa mawazo sana , japoteza furaha yan yupoyupo tu
Kuna nn?
Jamaa yan tangu mke ajua kama kalala na rafiki yake na kuachanaI’m confused with huu uandishi. Nani ana mawazo mke au jamaa
Sio kuzidiwa wake waache vijitabia vinavyoleta kutoelewana kila maraKwa kifupi hakuna upungufu wa nguvu za kiume...isipokuwa wanaume wamezidiwa na michuchu mingi
hata kama ingekua wewe au mimi lazima angejiuliza tu...kwamba miaka 5 mnaangaika jamaa anabep, lkn baada ya kumfumania akaanza kupiga show ya kibabe je tatizo nini?Huyo mke anataka nini kwani zaidi?
Nilidhani niko peke yanguI’m confused with huu uandishi. Nani ana mawazo mke au jamaa
Huyu anaelezea story inayomuhusu, katikati ya story kajichanganya kama vile anahadithia story ya rafiki yake. Angeendeleza story alivyoianza kwamba inamhusu Ili watu wawe free kumpa ushauri yeye kama yeye?,labda tumuulize swali.., kipindi cha uchumba wao zaidi ya miaka mitano nyuma ilikuwa ni SHOW SHOW au kimoja Cha sekunde mbili Chali!??..Nilidhani niko peke yangu
Wanaogopaga kusema ni zao.Huyu anaelezea story inayomuhusu, katikati ya story kajichanganya kama vile anahadithia story ya rafiki yake. Angeendeleza story alivyoianza kwamba inamhusu Ili watu wawe free kumpa ushauri yeye kama yeye?,labda tumuulize swali.., kipindi cha uchumba wao zaidi ya miaka mitano nyuma ilikuwa ni SHOW SHOW au kimoja Cha sekunde mbili Chali!??..
Hapana nadhan ni namna ya kuiwasilisha tu mimi sio mhusika na hapo nimeandika wanamiaka 5 ya ndoa kwenye uchumba hawajawahi kufanya mapenzHuyu anaelezea story inayomuhusu, katikati ya story kajichanganya kama vile anahadithia story ya rafiki yake. Angeendeleza story alivyoianza kwamba inamhusu Ili watu wawe free kumpa ushauri yeye kama yeye?,labda tumuulize swali.., kipindi cha uchumba wao zaidi ya miaka mitano nyuma ilikuwa ni SHOW SHOW au kimoja Cha sekunde mbili Chali!??..
ukiwa na mwanamke mmjoa muda mrefu unalemaa yaani kuna vitu unahisi unavifanya sahih kumbe unazingua na wanawake type ya kizamani hawasemi tena anakuigizia unajiona kidume lakin ukibadilisha radha unayaona mapungufu na kuyafanyia kazi usiaibike tenaEti hii imekaaje??
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila namna kumpikia vyakula vyakuboost tendo wapi na akimaliza unajitahidi tena aende roundi nyingine lkn hamna bàsi unazoea hayo maisha..
Lkn baada ya miaka 5 unamfumania anafanya mapenz na rafiki yako yan rafiki wa mke tena jamaa anaonekana kafa kaoza kwa rafiki wa mke, baada ya mke kugundua jamaa anaomba saana msamaha
ila sasa chakushangaza jamaa kuanzia hapo anaanza kupiga mechi mpaka mke anashangaaa kwa mara ya kwanza mke anaanza kufika kilelen yani tangu afumaniwe na aombe msamaha..
anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika.. .je kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini??
2 jamaa ( mme) tangu afumaniwe amekua mtu wa mawazo sana , kapoteza furaha yan yupoyupo tu
Kuna nn?