Wazo zuri sana ubarikiwe
Nunua vifaranga vya kuku chotara then wakuze ndani ya miezi 6-7 unauza kwa bei ya kila kuku sasa hv 14,000 Jogooo 20,000.
Anza na kuku kidogo upate uzoefu ila katika plan hiii unatakiwa uwe mbinifu and smart unaweza piga pesa ndefu.
[HASHTAG]#ubunifu[/HASHTAG] 1. Lima mwenyewe mahindi then baada ya mavuno tengeneza chakula, ambacho utakitengeneza kupitia formula ambazo unaweza kuzipata bila kutumia ghalama nyingi hii itakufanya project yako ikuzalishia faida kubwa.
# Kwenye issue ya madawa haina ghalama kubwa sana kama ukiwapa chanjo katika muda muafaka.
# Kua smart sana muda wote hakikisha kuku unawapa maji safi na salama wape chakula kupitia ratio za ukuaji wao.
Wape mboga mboga
Lat say ukiwa na kuku 3,000 ambao umewakuza ndani ya miezi 6-7 kwa bei ya sasa ni mpunga mrefu.
Demand kubwa sana Tanzania ya kuku huwezi hangaika kupata soko
Vijana wengi hawataki kuchangamkia fursa ya ufugaji kwa kuogopa kuonekana ''Muhenga'' wanataka kushinda kwenye masocial Media kufatilia ''ubuyu'' [emoji3][emoji3][emoji3] alf madame wengi siku izi hawataki boyfriends mfugaji
Sasa wewe tumia huuu uzaifu upige pesa
All the best..
Chotara?Mimi mpaka sasa ninao kuku 100 wenye miezi 4
Mkuu sijuw kwanini unapenda kukatisha watu tamaa hasa linapo kuja swala la fursaKwa kuandika ni rahisi sana tena mno. Ila kwa Practocal ni ngumu sana
Mkuu umewahi kufuga?
Maisha ni rahisi sana kwa kalami
Nimejihusisha na kilimo kwa muda sasa kilichonitokea kimekomba mpaka akiba yangu yote bila faida ya kueleweka
Anyway wazo zuri sana ila lazima ufunge kamba kweli kweli
Usije kuwaleta hao mara paaap wote wanakufa
Kiuhalisia alichokisema mkuu hapo juu kina maana sana,Mkuu sijuw kwanini unapenda kukatisha watu tamaa hasa linapo kuja swala la fursa
Ahahah akuna jambo rahisi linapokuja swala la kutafuta pesa.
iyo ni idea nimeandika tu hakuna mahala nilipo andika ni project Simple.
alf ww unatabia za kike, unapenda kuaminisha watu kila kitu ni kigumu kwasababu ww kinalushinda.
Pambana na hali yako
Ahhahaa ndio maana wabongo tunaendelea kubaki masikini.......endele ivyo ivyo kuamini huwezi.Kuku elfu 3!!!!???? Sina hakina kama ni practical "Siku ya 1- 28 chakula ni Tani 1.5, unamiezi 5 ya ziada gharama ya chakula itakua kiasi gani? Hiyo ni ktk nyanja 1."
"Hii inaitaji watu waliojipanga kuwekeza, na sio wachangamkia fursa " ama tuivunje mpaka kiwango ambacho ni practical"
Ha ha ha mkuu bhana,Unaweza ukaoa mke kwa mahali nyingi na ukatobewa bure
wakifa ingiza tena wengine
Huna akili ya uwekezaji lazima ubaki mweupe
Ndo uwezo wako wa kuwaza umeshia?Hilo Pambana na hali yako ndo uwezo wako umekomea?Mkuu sijuw kwanini unapenda kukatisha watu tamaa hasa linapo kuja swala la fursa
Ahahah akuna jambo rahisi linapokuja swala la kutafuta pesa.
iyo ni idea nimeandika tu hakuna mahala nilipo andika ni project Simple.
alf ww unatabia za kike, unapenda kuaminisha watu kila kitu ni kigumu kwasababu ww kinakushinda.
Pambana na hali yako