Wazo/ushauri wa biashara nina mtaji wa laki tatu (3) Dodoma mjini

Hongera sana kwa kuwa mpambanaji...kitu cha msingi unatakiwa kujua biashara gani ambayo unaweza kuifanya na ukishaijua unatakiwa upangilie gharama zake za uendeshaji na ufanye mchanganuo wa mauzo uone mapato yake yatakuwaje. Na biashara nzuri kwa kuanza unatakiwa ufanye biashara ambayo wateja wake ni wa kila siku. Huu ni mwezi wa Ramadhani ukipata sehemu mtafute mdada ambaye yupo vizuri kwenye kupika futari na huduma nzuri kwa wateja, utauza. Wakati hiyo inaendelea kukuingizia mapato fikiria biashara nyingine baada ya Ramadhani kuisha ufanye biashara gani. Ahsante
 
Unaweza kufanya biashara gani au kitu gani nikushauri maana dodoma nimeishi au ninaendaga bado.
 
Napenda nifanye chakula kma mchele maharage n.k
Hiyo inataka ununue pesa kwa kubwa, wewe ungeanza kuuza kwa kiduka rejareja kwa kupima mfano unga wa ngano, sukari, mchele unauzia watu wa mgahawa kama mama ntilie utauza lazima weka na mafuta ya kula eneo nenda majengo karibia na soko au udom ngo ngo na 😂😂😂
 
Uza macover na screen protector kwa kutembeza machuoni pia uza na earphone
 
Hiyo inataka ununue pesa kwa kubwa, wewe ungeanza kuuza kwa kiduka rejareja kwa kupima mfano Udon wa ngano, sukari, mchele unauzia watu wa mgahawa kama mama ntilie utauza lazima weka na mafuta ya kula eneo nenda majengo karibia na soko au udom ngo ngo na 😂😂😂
[/QUOaaah shukran mkuu ntafanya
 
sikutishi nakutahadharisha. Huo mtaji wako unaweza kuupoteza usipokuwa makini. usianze kufanya biashara kwanza, tumia wiki moja au mbili kufanya research. usiwe kama wengine hufanya research kwa kuangalia tu, ingia mahali fanya kazi.

•ukitaka biashara ya mamantilie, jipe wiki moja kila siku upo kwa mamantilie unamsaidia kazi na kupiga naye stori.

•ukitaka biashara ya kuuza matunda, nenda kwa muuza matunda msaidie kuuza (hawez kukataa ukimweleza nia yako)

biashara zipo nyingi kwa dodoma mjini kwa mtaji huo, jambo la msingi tafuta location nzuri.

sasahivi nipo dodoma soko la sabasaba. ukipita hapo asubuhi ukaona nimeshika chupa za uji natembeza basi ujue ni mimi.

ukipita saa nne hivi ukaona mtu anasambaza chai kwa madereva daladala, basi ujue ni mimi.

ukipita mchana ukaona nipo na sahani za vyakula, basi ujue ni mimi.

ukipita jioni ukaona nipo kwenye mkokoteni nauza ndizi/parachichi/tikiti basi ujue ni mimi. ikifika usiku utanikuta maeneo ya chako ni chako, morena au pestana. sio kwamba nakula bata bali nauza kondomu na dawa za kuongeza nguvu za kiume.

by the way leo ukipita sabasaba utaniona nimevaa tisheti nyekundu imeandikwa BORN TO SUFFER. ukiniona nisalimie usinipite hivi hivi nami nitakusaidia namna ya kutumia mtaji wako vizuri.
 
Ebana eeeeh naona unaitendea kazi dodoma ipasavyo vipi earnings kwa siku mfuko unatuna siyo. Chako Ni chako wanakula
 
Hahaha mbavu zangu mie, unstoppable
 
Leo nitakuona wapi maana leo napita hapo sabasaba naenda pokea mzigo wangu kimbinyiko, nataka nikuone tu kwambali.

Nimekuja PM nikuulize jambo moja, maana kwa hustle hizo.
 
Mimi ni kijana mpambanaji nimeotea laki tatu nataka nifanye biashara kwa wazoefu naombeni mnisaidie biashara gani nifanye itanitoa angalau.
Dash kuna mishe moja nimetoka kudiscuss na mtu mmoja sasahivi, ningewai kuingia humu kidogo tu ningekushilikisha maana pesa ilikuwa changamoto ila nishapata solution kwamahesabu tu 100,000/= unazalisha faida ya 70,000/= kwa 300,000/= faida ya 210,000/= hata kwa siku 1,2,3...au week itategemea uwe Fanya mzigo kiasi gani.

Nitaleta mrejesho maana ni bado theory.
 
Mtoa mada ni PM namba yako, au mtu aliye Dom una mtaji kama wa mtoa mada na una uwezo wa kizunguka ni pm namba | ili suala minisina cash now | mininawazo wewe kama utaweza risk pesa then tunafanya wote biashara kuna maeneo tuyafikie fsta ikiwezekana hata kesho tutagonga faida chap.
 
hiyo.faida 70000/= ni kwa siku ngapi?
 
Leo nitakuona wapi maana leo napita hapo sabasaba naenda pokea mzigo wangu kimbinyiko, nataka nikuone tu kwambali.

Nimekuja PM nikuulize jambo moja, maana kwa hustle hizo.
leo nilikua sabasaba sema sikuwa online sikuona post hii, ungeniona hata kwa karibu na nikakupatia ndizi ya bure au lunch kabisa
 
sikutishi nakutahadharisha. Huo mtaji wako unaweza kuupoteza usipokuwa makini. usianze kufanya biashara kwanza, tumia wiki moja au mbili kufanya research. usiwe kama wengine hufanya research kwa kuangalia tu, ingia mahali fanya kazi.

•ukitaka biashara ya mamantilie, jipe wiki moja kila siku upo kwa mamantilie unamsaidia kazi na kupiga naye stori.

•ukitaka biashara ya kuuza matunda, nenda kwa muuza matunda msaidie kuuza (hawez kukataa ukimweleza nia yako)

biashara zipo nyingi kwa dodoma mjini kwa mtaji huo, jambo la msingi tafuta location nzuri.

sasahivi nipo dodoma soko la sabasaba. ukipita hapo asubuhi ukaona nimeshika chupa za uji natembeza basi ujue ni mimi.

ukipita saa nne hivi ukaona mtu anasambaza chai kwa madereva daladala, basi ujue ni mimi.

ukipita mchana ukaona nipo na sahani za vyakula, basi ujue ni mimi.

ukipita jioni ukaona nipo kwenye mkokoteni nauza ndizi/parachichi/tikiti basi ujue ni mimi. ikifika usiku utanikuta maeneo ya chako ni chako, morena au pestana. sio kwamba nakula bata bali nauza kondomu na dawa za kuongeza nguvu za kiume.

by the way leo ukipita sabasaba utaniona nimevaa tisheti nyekundu imeandikwa BORN TO SUFFER. ukiniona nisalimie usinipite hivi hivi nami nitakusaidia namna ya kutumia mtaji wako vizuri.
Kwa mbishe hizo baba unastahili uwaziri wa biashara na masoko
 
Mimi ni kijana mpambanaji nimeotea laki tatu nataka nifanye biashara kwa wazoefu naombeni mnisaidie biashara gani nifanye itanitoa angalau.

Mifuko mbadala wa Plastiki
IMG_9971.JPG
 
Back
Top Bottom