Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Tuwekee mshahara wa mwenyekiti wa chama tawala tuone kama mshahara wake ni mdogo kuliko hao wa upinzani isitoshe JPM amechaguliwa kwaajili ya kuongoza nchi tofauti na uongozi wa kichama ambao anaadhibiwa na wanchama pekeeNaungana na wewe kwa sababu kuna baadhi ya wenyeviti wa vyama vya upinzani wanachukua mshahara mkubwa tu na hakuna chochote wanachokifanya zaidi ya kubwabwaja bwabwaja tu
Hofu yako ni nini mkuu mbona inatosha ukizingatia hakatwi kodi na kila kitu anahudumiwawakuu naona raisi aongezewe mshahara hata angalau milioni 30 kwa mwezi kuliko kulipwa milioni 9.5 kwa mwezi wakati ana majukumu mazito hivyo
Tuwekee mshahara wa mwenyekiti wa chama tawala tuone kama mshahara wake ni mdogo kuliko hao wa upinzani isitoshe JPM amechaguliwa kwaajili ya kuongoza nchi tofauti na uongozi wa kichama ambao anaadhibiwa na wanchama pekee
Zakumuongeza zipo escrow zikifuatiliwa zile rais itabidi aongezewe Mshahara kama itashindikana basi mheshimiwa rais atuvumilie tu mana na sisi pia huku uswahilini tuna njaa na hamna anaetupa chakula tunapambana lakini mafanikio bado madogowakuu naona raisi aongezewe mshahara hata angalau milioni 30 kwa mwezi kuliko kulipwa milioni 9.5 kwa mwezi wakati ana majukumu mazito hivyo
Naungana na wewe kwa sababu kuna baadhi ya wenyeviti wa vyama vya upinzani wanachukua mshahara mkubwa tu na hakuna chochote wanachokifanya zaidi ya kubwabwaja bwabwaja tu
Mkuu... Ilikuwa tarehe 1/4/2016...April fool.... Sitaki kuamini na wewe umekuwa mjinga.... Pamoja na wote walio kuunga mkono kwenye hii hoja..Wakuu,
Naona rais aongezewe mshahara hata angalau milioni 30 kwa mwezi kuliko kulipwa milioni 9.5 kwa mwezi wakati ana majukumu mazito hivyo.
Mkuu hakuna kitu kobaya kma mtu mzima kushindwa kuchanganua jambo dgo kma hili....Kwahiyo mshahara wa mwenyekiti wa upinzani ndio standard za mshahara wa rais? Huyo rais ni ,wenyekiti pia?