WAZO: Mobile fixed account

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,231
Matumizi ya simu kwa sasa yamekua makaubwa, huduma za kifedha zote zinafanyika kupitia simu zetu za mkononi. Deposit/withdraw pia ni kati ya huduma tunazozifaidi.

Nikawaza, ivi hakuna uwezekano hii mitandao ya simu ikatuletea wateja wake huduma ya "Fixed account"?

Kwann nimewaza hivyo:

Changamoto kubwa ya kuweka pesa kwnye mitandao ya simu inamfanya mtu awe na nafasi ya kutumia pesa hata kwa matumizi yasiyo ya lazima.

Hivyo basi nadhani kupitia "Fixed account" itasaidia na watu kuhifadhi pesa zao kwa matumizi ya baadae na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima.

Account hizi zinaweza kua za miezi mitatu mitatu ama sita. Au mkaweka option zote.

Ni wazo tu kwenu wadau na kwa mitandao husika mitandao.

Ahsanteni.
 
Mimi pia natamani sana hizo mobile money services ziwe na options ya kufix money kama mabank hii ita save sana mana binafsi yangu niwapo na balance kwenye simu hata kikatiza tu kitu cha kutumia hela hata kisiwe cha muhimu na agents walivyozagaa basi nachomoa chap tu
 
Back
Top Bottom