trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
mie natafakuri kwanza.
Jina la jukwaa liitwe..jukwa la wajenzi huru,.ila kiingereza cha ndio sijui.
...sio kwamba jukwaa lenyewe ndo hili..chi-chat!?
Ya kazi gani? Pumba zisizo na matatizo si zinajazwa huku chitichati?
Na unajua maana ya kupigwa ban? Kama unajua basi hoja yako haina maana.
TRACHOMATIS hapo juu nilisema sina maoni nikijua hauko sirias, ila baada hata ya kuona unabishana na BAGAH nimeona kuna haja ya kukujuza mwanawane kuwa CHIT CHAT ndio penyewe pa uchafu wote hakuna pengine! Ila kiutu uzima nakupa hope kuwa mabadiliko makubwa yatafanyika HUMU JAMII FORUMS tarehe 12 hadi 15 mwezi huu wa tano huenda wazo lako lisitupwe kapuni, just in case.
Mods naomba msihamishe uzi kwani ni maalum kwa chitchatters..