Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
Angalia muvi inaitwa temptation ya tyler utapata jibu lako... Ona watu wanavokomaa mwaka.mzima... Lazima.akuzingue mwanzon boas so kukwambia anae wake na.unajua jana unapaswa.uendelee.kukomaa nae yan mwanzo mwisho mpaka akuelewe...
unaingiaga kwa gia gani?
wenzako wanauza maneno!
mazima.
unaingiaga kwa gia gani?
wenzako wanauza maneno!
mazima.
Acha kutongoza kizamani
kiutu uzima ni kumnunulia mtu beer au soda mara mbili au tatu
anaelewa....
kutongoza kizaman ikoje mkuu?
kumwambia mtu nimekupenda nataka nikuoe
hiyo kizamani mno
siku hizi watu hawatongozi hivyo tena
kumwambia nakupenda mi naona kawaida,labda nnapaswa nimwambieje
Acha kutongoza kizamani
kiutu uzima ni kumnunulia mtu beer au soda mara mbili au tatu
anaelewa....
Usimwambie lolote
tabasamu tu na kumuuliza jina lake
halafu jitambulishe wewe nani unafanya kazi wapi
inatosha
siku ingine omba namba ya simu
halafu mpe ofa ya soda au beer...halafu mkaribishe kwako unapoishi
ni kweli maana kuna mda nacomplicate jinsi ntakavyomwambia msichana na hiyo ndo imekuwa ikiniumiza kichwa
Mbona simple sana ila tuuuu kwa ajili ya kutunza muda na pesa usidili na msichana uisiekuwa na mazoea nae, Lazima atakuletea snema za kihindi hata kama anakupenda labda awe spesho product hapo hata usipoweka maji maharage yanaiva.