Wazo La Leo

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Hata uwe kauzu kiasi gani huwezi kujamba wakati unatongoza.
Hata njiwa 'Ana Makinda' lakina hawezi kuwa Spika wa Bunge
Hata uwe bishoo kiasi gani huwezi nyoa kwapa Kiduku
Urefu na Ufupi ni majaliwa ya mwenyezi Mungu '' Vitambi na Mimba ni Juhudi zetu wenyewe.
 
Hata muwe mnapendana kama kumbikumbi,kuoga mtaoga wote,kupika mtapika wote,ila kukata gogo' utakwenda mwenyewe.
 
Matumizi mabaya ya fedha ujanani ni maandalizi mazuri ya ufukara uzeeni
 
Manabii wengi watamuigiza yesu ila kamwe hawawezi kutembea juu ya maji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…