Wazo la leo

Wazo la leo

sagemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
467
Reaction score
30
"kuku wakijua kutumia condom tutakula chips kavu mwanzo mwisho"
 
utakuwa umesoma HKL, kutaga kwa kuku hakuna uhusiano na jogoo. Jogoo anatumika kurutubisha mayai yatakayotagwa yawe na uwezo wa kutotolewa tu. Mchana mwema
 
utakuwa umesoma HKL, kutaga kwa kuku hakuna uhusiano na jogoo. Jogoo anatumika kurutubisha mayai yatakayotagwa yawe na uwezo wa kutotolewa tu. Mchana mwema

We kumbe unakula mayai ambayo hayajarutubishwa, that's why uko kiuromborombo ivo, nimegundua hilo pia, ahsante kwa kunifanya nigundue kuwa kuku huwa wanataga bila jogoo
 
sijakusoma

Kwani hicho ni kichina mkuu, au we ni slow soldier nn? Ngum kukomprehend vitu, pipo dizaini yako wakisimuliwa jokes leo huwa hawacheki mpka kesho, at that tym hawajui kuwa ni joke mpka watulie sana ndo wanadiscover
 
dah ungejua tabia za layers usingepost kabisa..

We kweli kilaza, hw am I supposed to know layers behaviors, kwan umeambiwa mi ni mfuga kuku, hiyo sio profesheni yangu! Haiya tiririka mfuga kuku!
 
Usisite kumpenda anayekupenda bila kujali
kabila, sura,
dini
hata ugumu WAMAISHA AU
ELIMU yake!!
2kifanya hv
utajikuta umedumu ktk
any
relationship..
 
Kwani kuna kiwanda cha condom za kuku?
Kama zingekuwepo, zingekuwa zinawekwaje kwa kuku?
Mtoa wazo nakushauri uwe unafikiria kwanza kabla ya kuuonyesha ulimwengu kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
 
Kwani kuna kiwanda cha condom za kuku?
Kama zingekuwepo, zingekuwa zinawekwaje kwa kuku?
Mtoa wazo nakushauri uwe unafikiria kwanza kabla ya kuuonyesha ulimwengu kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.

Kama ulivyo uwezo wako, kwan kuku hawana kifanyio.?
 
Back
Top Bottom