Wazo la leo..

Kweli wahenga hawakukosea waliposema "fadhila mfadhili ......."
 
Na ndivyo walivyo hawa, alidhani aliemfunga mwanzo alimuonea!
 
hata wanawake wangekuwa na nguvu wangewafunga wanaume tena kwa kuwatundika juu ya miti!
 
Wengi tunashindwa kujua mapenzi hayana fadhila na ukipenda boga ..basi ulipende na ua lake.

Ndio maana kuna matatizo sana kati ya relationship nyingi kwani utakuta mtu akinuna tu.. anakumbusha ada zake alizokulipia wakati unasoma..Tenda mema nenda zako.. ukiamua kupenda sahau na wala usiingize fadhila zako.. Mapenzi na fadhila ni vitu viwili tofauti..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…