1. usishangae ng'ombe anatembea huku anakunya anajali muda.
2. Kobe kutembea na nyumba yake, hapendi kurudi nyuma.
3. Hata uwe mtata vipi huwezi kudai ticket kwa dereva bodaboda
4. Hata uwe na haraka kiac gan huwezi funga supu kwny gazeti.
1. Vyombo vya habari navyo ni vyombo lakini havioshwi.
2. Cheti cha kupewa bure bila kufanya mitihani ni cheti cha ndoa,mitihani inakuja baadae!
3. Rape is not a crime,it's just a suprise sex
4. Nguo chakavu ndio dekio jipya.