Wazo la leo na la milele

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
%.. WAZO LA LEO ..% Hata kama uwe na fujo kiasi gani, huwezi kugombania Foleni ya kupima UKIMWI!
Je unabishaaaaa"!!!!!!!!
 
Unauhakika?? Na umeprove wapi??
 
%.. WAZO LA LEO ..% Hata kama uwe na fujo kiasi gani, huwezi kugombania Foleni ya kupima UKIMWI!
Je unabishaaaaa"!!!!!!!!

Nikiwa kama profesa wa kuhisi,Mkuu una goma,cha kufanya andika wosia mapemaa hata hivyo ngoja nikupe dawa:kula kitimoto kilo moja kila siku,utapona.
 
Nikiwa kama profesa wa kuhisi,Mkuu una goma,cha kufanya andika wosia mapemaa hata hivyo ngoja nikupe dawa:kula kitimoto kilo moja kila siku,utapona.

Hahhhha situmii kitimoto wala sitakula maisha yangu yoteeee
 
Hahhhha situmii kitimoto wala sitakula maisha yangu yoteeee

Siku nikikutongoza ukikubali nakufanyia vizuriii kisha nakwambia 'kama kweli unanipenda kula nusu kitimoto najua na wewe utabana sauti na kunijibu 'nakupenda sana lete kilo moja na nusu.Alafu mchezo unaendeleo,au sio!
 
%.. WAZO LA LEO ..% Hata kama uwe na fujo kiasi gani, huwezi kugombania Foleni ya kupima UKIMWI!
Je unabishaaaaa"!!!!!!!!
huyo anawahimiza foleni iende kistaarabu



Baba II residents queue for testing
[h=1]Baba II Village[/h] [h=2]Launching of the anti-HIV/AIDS project and mass voluntary counseling and testing (MVCT)[/h] [h=2]8th May 2006[/h]
The opening ceremony started at about 12:30 pm with a welcome address by Mr. ACHIRI Z.A. thanking the officials and the villagers who have left other engagements to be present at this important launching of the project for the fight against HIV/AIDS.
 
Siku nikikutongoza ukikubali nakufanyia vizuriii kisha nakwambia 'kama kweli unanipenda kula nusu kitimoto najua na wewe utabana sauti na kunijibu 'nakupenda sana lete kilo moja na nusu.Alafu mchezo unaendeleo,au sio!

Unitongoze mara ngapiii acha ujingaa banaa we kila mda unataka kutongozaa hadi unasahau unataka kurudia kutongozaa
 
ukipewa elimu ya kutosha ikakuingia barabara..lazima uwe na ari na munkari wa kutaka kujua afya yako...

hiv test in ghana...


Villagers queue for HIV testing at a HOGU music, drama & dance outreach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…