Wazo la leo kwa akina dada

Tutajisifu vizuri maana sisi ndio tunaobeba...tamu na chungu twaijua sie.....sio masihara hayo jamani...
 
Wadau wanaita 'kumtemesha mtu mate' nafikiri kidume ndo uwa kinajisifu zaidi!!
 
Sanaaa...mungu amekupa zawadi kubwa kwann usiifurahie?

Sidhani kama 'kufurahi' na 'kujisifu' ni misamiati yenye maana linganifu...

Kufurahi hilo nakubaliana nalo, ila nauliza huko kujisifu kwatoka wapi?
 
...and vice versa is true,ceteris peribus...
 
Sidhani kama 'kufurahi' na 'kujisifu' ni misamiati yenye maana linganifu...

Kufurahi hilo nakubaliana nalo, ila nauliza huko kujisifu kwatoka wapi?

Thats why twishen sikosi kuhudhuria
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…