Wazo la kutengeneza kikundi cha vijana wajasiriamali bure

fabianmalaba

JF-Expert Member
Feb 21, 2017
280
183
Ndugu zangu,
Kwa jina naitwa Fabian,umri wangu ni miaka 30 nipo mkoa wa Dar es salaam,elimu yangu ni taaluma ya teknolojia ya habari ngazi ya cheti tu,kutokana na kukosekana kwa ajira hapa kwetu, mimi kama kijana mwenzenu nimekuja na wazo dogo sana la ujasiliamali,

Wazo langu ni hili,

Tuungane vijana 15 jinsia mchanganyiko,tukutane mahala popote tutakapo kubaliana kukutana tujadiri wazo langu hili

TUKIWA WATU 15 JINSIA YOYOTE,KATIKA HAO KUMI NA TANO NAAMINI TUNAWEZA KUANZISHA GENGE LA CHAKULA MAHALI POPOTE KWA KUCHANGIA KILA MMOJA ELFU 20 ILI TUTENGENEZE BANDA NA KUNUNUA VIFAA VYA SHUGHULI NZIMA HALAFU TUTAPEANA ZAMU YA KUHUDUMIA KATIKA SHUGHULI YETU MRADI KUWEPO NA UONGOZI NA TUTAIWEKA KATIKA NGAZI ZA SERIKALI ILI KUSIWEPO NA UJANJA UJANJA,BAADA YA MWEZI MMOJA TUNAJUMLISHA MAUZO YOTE TUNAKAA CHINI NA KUJADILI NINI TUFANYE ILI KUBORESHA ZAIDI

natanguliza shukrani zangu za dhati,

kwa atakaekuwa tayari basi tuwasiliane hapa au tunaweza kutengeneza kikundi cha mawasiliano kwanza ili tujue tumefika wangapi ndipo tukutane na kujadiri suala hili pengine kukawa na fursa nyingine tofauti na hii

tutafutane hapa +255765325644 (whatsapp)
 
Elfu 20 kila mmoja, kwa watu 15=300000. Laki tatu hyo upate banda, kulipia location etc nadhan haitoshi, bt wazo zuri ngoja na wengine walete mawazo yao.
 
hiyo elfu 20 nimeweka kiwango cha chini ili niibue watu wengi na naamini ningepiga tathmini yote nadhan ningekuja na pesa zaid ya sh. 75000 kwa kila mtu na watu wangeshtuka kwamba huu ni utapeli hakuna amabe angejitokeza, sasa ili kurahisisha nikaweka hiyo 20000 ili tukikutana tujue tunaweza kuanza na sh ngap na kupanga mikakati mingine
 
Hapo nimekupata ndugu.
 
Biashara ya chakula inalipa sana, na ukweli ni kwamba hiyo hiyo laki 3 inatosha under proper management. ila ushauri wangu ni kwamba watu 15 ni wengi sana kwa biashara hiyo, punguza idadi ya watu, muwe 5 halafu kila mtu aje na elfu 80, jumla ni 400,000 hiyo itatosha kukodisha sehemu, na kununua jiko la mkaa, vyombo vichache vya kuanzia, na mbao za mabenchi ya kukalia. Baada ya hapo tafuteni mama ambaye mtaalam wa mapishi halafu nyie mtakuwa mna m manage. kila la kheri!!
 
Ndugu zangu,
Kwa jina naitwa Fabian,umri wangu ni miaka 30 nipo mkoa wa Dar es salaam,elimu yangu ni taaluma ya teknolojia ya habari ngazi ya cheti tu,kutokana na kukosekana kwa ajira hapa kwetu, mimi kama kijana mwenzenu nimekuja na wazo dogo sana la ujasiliamali,

Wazo langu ni hili,

Tuungane vijana 15 jinsia mchanganyiko,tukutane mahala popote tutakapo kubaliana kukutana tujadiri wazo langu hili

TUKIWA WATU 15 JINSIA YOYOTE,KATIKA HAO KUMI NA TANO NAAMINI TUNAWEZA KUANZISHA GENGE LA CHAKULA MAHALI POPOTE KWA KUCHANGIA KILA MMOJA ELFU 20 ILI TUTENGENEZE BANDA NA KUNUNUA VIFAA VYA SHUGHULI NZIMA HALAFU TUTAPEANA ZAMU YA KUHUDUMIA KATIKA SHUGHULI YETU MRADI KUWEPO NA UONGOZI NA TUTAIWEKA KATIKA NGAZI ZA SERIKALI ILI KUSIWEPO NA UJANJA UJANJA,BAADA YA MWEZI MMOJA TUNAJUMLISHA MAUZO YOTE TUNAKAA CHINI NA KUJADILI NINI TUFANYE ILI KUBORESHA ZAIDI

natanguliza shukrani zangu za dhati,

kwa atakaekuwa tayari basi tuwasiliane hapa au tunaweza kutengeneza kikundi cha mawasiliano kwanza ili tujue tumefika wangapi ndipo tukutane na kujadiri suala hili pengine kukawa na fursa nyingine tofauti na hii

tutafutane hapa +255765325644 (whatsapp)
Mungu aongoze nia yako njema na akubariki kwa uelewa wako
 
wa mikoani sasa kwa sasa hatuna namna ya kuwasaidia ila tukishaanzisha na mambo yakawa mazuri basi hata wa mikoani tutawakaribisha
Dah!! hii fursa imenipita kabisa aisee, ngoja niuze huu mpunga mkuu nakuja dar, nitakutafuta nikifanikiwa kufika huko.
 
Back
Top Bottom