1)Nakushauri kama una sehemu ya kufugia jaribu kuku wa nyama unaweza pata vifaranga wengi tu na ukabakiwa na pesa ya chakula,ukijituma itakufikisha pointi fulani ila zingatia chanjo ili isije ikala kwako.mi nilifanya na bado naendelea imenifikisha somewhere sasa nawaza kutafuta na biashara mbadala ili kuongeza kipato mana unemployment kwa sasa imekuwa ni janga la dunia.
Otherwise,nakupongeza na pia kama utapata wazo lingine zuri kuliko hili jaribu kupima mwenyewe kipi utakiweza kutokana na opportunity ulizonazo.
mwisho nakutahadharisha kuwa hakuna pesa ndogo hivyo usikubali mtu akuvunje moyo mana kila mtu ana maisha yake na tafsiri yake ya maisha. "some of the people have born only to criticise"