Poleni na majukumu wana JF,

Awali ya yote niwapongeze kwa kazi kubwa sana mnayoifanya na hata kufikia hatua ya kuwa na SAKOSI hii ni hatua kubwa sana inayotakiwa kuungwa mkono,hongereni sana.

Niniaomba mnisaidie chakufanya kwani nina cash ya shilingi laki tano na sijui cha kufanya kwasasa.

Nisaidieni

ipeleke kwenye SAKOSI

Kweli Saccos ni njia nzuri ya kusaidiana hasa kwa mitaji...., lakini,

Hivi Return on Investment kwenye the best Saccoss ni kiasi gani, na kwa muda gani (unless kama anapeleka huko ili mtaji uongezeke..?) simshauri aweke mayai yake yote kwenye kapu moja..., na ni vema kuanza biashara ndogo ndogo na pesa ndogo ili apate ujuzi zaidi kuliko kuingia kwenye biashara kubwa ghafla..........., na Saccos itumike kama sehemu ya kuweka na kukopa, kwahiyo aweke baadhi ya pesa zake na sio mtaji wake wote
Asante kwa ushauri Kaka lakini naomba unielekeze japo faida zake nitakapozihifadhi huko Bankkahiifadhi bank tu.