Wazo la biashara

Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
Poleni na majukumu wana JF,

Awali ya yote niwapongeze kwa kazi kubwa sana mnayoifanya na hata kufikia hatua ya kuwa na SAKOSI hii ni hatua kubwa sana inayotakiwa kuungwa mkono,hongereni sana.

Niniaomba mnisaidie chakufanya kwani nina cash ya shilingi laki tano na sijui cha kufanya kwasasa.

Nisaidieni

ipeleke kwenye SAKOSI

• Thanks
Reactions: LAT
Mkuu inategemea upo wapi juzi kuna mtu alikuwa na laki mbili (baada ya kufanya biashara ya vocher na watu walimshauri cha kufanya nakusihi utafute hiyo thread sababu wewe unao zaidi ya mara mbili kumshinda)...

Pili inategemea location yako na ni kitu gani watu wanapenda mitaa ambayo upo na ni nini ni adimu..., unaweza kufanya biashara zozote za kuuza chakula, matunda, vinywaji n.k.

Angalia ni kitu gani ambacho wenzako wanauza sana na jaribu kufanya research ni wapi wananunua na kama wewe unaweza kufanya vivyo hivyo kwa bei nafuu au bei sawa na wenyewe.., mfano kama mjini ulipo kuna uhaba wa samaki au kuku wa kienyeji jaribu kuangalia kama unaweza kuwapata nje ya mji na kuwaleta mjini na kuwauza.....

Biashara ni ushindani kama unataka kuwa sawa na wenzio (katika kiwango chako) basi fuata vyote wanavyovifanya na kama unataka kuwa zaidi ya wenzako basi fanya zaidi ya wanachofanya wenzako...., bila shaka utafanikiwa kuliko wenzako (fanya research ya market yako inataka nini na kama wewe unaweza kukizi mahitaji yao)

ipeleke kwenye SAKOSI

Kweli Saccos ni njia nzuri ya kusaidiana hasa kwa mitaji...., lakini,

Hivi Return on Investment kwenye the best Saccoss ni kiasi gani, na kwa muda gani (unless kama anapeleka huko ili mtaji uongezeke..?) simshauri aweke mayai yake yote kwenye kapu moja..., na ni vema kuanza biashara ndogo ndogo na pesa ndogo ili apate ujuzi zaidi kuliko kuingia kwenye biashara kubwa ghafla..........., na Saccos itumike kama sehemu ya kuweka na kukopa, kwahiyo aweke baadhi ya pesa zake na sio mtaji wake wote

afanye research ya ROI na wakati anaendelea kufikiria cha kufanya pesa yake itakuwa inaendelea kuzalisha.

• Thanks
Reactions: LAT
Wakuu nisaidieni Jamani bado nahitaji mawazo yenu nayaheshimu sana
Poleni na majukumu wana JF,

Awali ya yote niwapongeze kwa kazi kubwa sana mnayoifanya na hata kufikia hatua ya kuwa na SAKOSI hii ni hatua kubwa sana inayotakiwa kuungwa mkono,hongereni sana.

Niniaomba mnisaidie chakufanya kwani nina cash ya shilingi laki tano na sijui cha kufanya kwasasa.

Nisaidieni

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom