Wazo: Ianzishwe kampeni changia Lissu kadri anavyokaa mahabusu

kuna watu ni wapumbavu sana, yaan ukamchangie mbunge anayepata mshahara Mkubwa, posho kubwa, pamoja na benefits nyingii tu. si bora ukachangie watoto waliozaliwa na matatizo ya moyo pale muhimbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watoto wanakosa huduma bora kutokana na mfumo mbaya wa utawala na mbinu duni za kujenga uchumi. Tuchangie jitihada za kuondoa mfumo unaosababisha watoto wasipate huduma bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe! Katiba ya nchi na sheria zote husika ni lazima ziheshimiwe na wote akiwemo huyo dikteta uchwara. Hayuko juu ya katiba wala sheria za nchi. Acha kukurupuka na kuandika pumba humu.

Sisi wananchi wake huku jimboni tumeshamkanya sana dhidi ya kuifuatafuata serikali hivyo hatuna haja ya kuchangiwa tumeazimia kumuondoa 2020 ili ashughulike na mambo yake ya mahakama!
 
Inabidi tujiongeza kwa kuonyesha tuko pamoja na Lissu kwa kuanzisha kampeni maalumu ya kumchangia ambayo itakoma pale tu siku anapopewa dhamana.

Fedha zitakazopatikana zielekezwe katika kutatua matatizo yaliyoko katika jimbo lake kwani watu wa jimbo hilo ndio waliotuletea mpambanaji huyu.

Wakati wao wanamshikilia,sisi tunamuwezesha.

Nina hakika michango hiyo itaandika historia na itawashitua wale jamaa.

Akikaa ndani miezi kama Lema basi atoke na mamilioni kadhaa.

Wekeni utaratibu wa wazi watu kuchangia muone muitikio wake.

Kuna watu wanatuhumiwa kununua madiwani na wengine kutoa mikopo kwa vijana hivyo sioni tatizo na sisi tukaja na huu mkakati.

Tjifunze kwa yaliyomkuta Lema na tuwe na mkakati wa ku-discourage haya mambo.

Uko sahihi kabisa nimelipenda wazo lako.
 
Lete mrejesho wa makusanyo ya mpango wa kuchangia chadema kwa njia ya kieleteoniki uliozinduliwa pale mlimani City kwa mbwembwe.
Acha uzwazwa,kile kilikuwa kipindi cha kampeni na makusudio yake yalikuwa ni kuchangia kampeni za uchaguzi
[HASHTAG]#UKUKU[/HASHTAG]
 
Anapokea tsh 99,000,000 kwa mwaka tumchangie nn sisi?
Wananchi wa kawaida tunapata chini ya 10,000,000 tsh kwa mwaka
 
Yani haya ndiyo mawazo ya waafrika wenye kuona kutokuendelea kwao ni kwa sababu ya viongozi wao na si wao,kama wazungu nao wangekuwa wanawaza kama sie basi sidhani siasa zao zingekuwa vile zilivyo.
 
Back
Top Bottom