Hizi programme za serikali kusema haifukui makuburi, kwa kuwaacha walaji wa billions of money wanakula bata tu mtaani kwanini basi makaburi yetu ya HESLB yanafukuliwa.... tena kwa nguvu kubwa na picha wanaweka? Hyo mikakati mikali wanayoipanga dhidi ya watoto wa wakulima hawa kwanini wasiitumie kudhibiti hawa (world class parasites) waliotufikisha hapa tulipo? Mtu unafanya kazi mshahara laki 8... inapgwa panga then upande wa pili kwa mapapa wanatoa simple statements tu eti hawafukui makaburi.... inatia hasira[emoji16]