Wazo binafsi kuhusu TRA..!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo binafsi kuhusu TRA..!!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kayoka, Oct 18, 2011.

 1. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ndugu wanaJF napenda kutoa ushauri wa bure kwa mamlaka ya mapato Tanzania (tra) kuhusu kukusanya kodi tena ni nyingi kwa wamiliki wa nyumba za hosteli za wanafunzi wa vyuo na sekondari. Níkirejea tu hapa St. Augustine university of tz (saut) mwanza kuna hosteli takribani 200 zinazopangisha wanafunzi kwa kodai ya laki 4 hadi mil. 1.20 kwa kila chumba na ziko full kujaa wanafunzi. Tra licha ya kung'ang'inia kodi za wafanyakazi hasa walimu na manesi wanaonaje wajaribu kuweka na kuchukua mapato mengine toka kwa hawa wamiliki wa hizi hosteli ili kuinua mapato ya taifa letu..!?
  Naomba kuwasilisha kwenu.!!?
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nikiwa kama mpangaji wa hz hosteli hapa mwanza naona mambo na kipato kinachopatikana toka kwenye hz hosteli. Wenye namna ya kuwasiliana na tra toeni msaada waje wachukue mapato ya taifa sio kuwabana wauza bangi na bombe tu hata hawa wamiliki wa hosteli wanapaswa kulipa mapato..!
   
Loading...