Ni bora kuwa haya ni mawazo yako tu. Hebu fanya utafiti kwanza BVR ni nini ina faida gani au hasara gani na kwa nini serikali imeamua kutumia, tech specs operational specs, nchi ngapi katika dunia ya tatu wanatumia na kwa nini wameamua kutumia.Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah
Bila Shaka.....kwa machine zile hakutakiwa mtu wa kujua computer kwenye internet cafe ndio awe operator...walitakiwa wazoefu wa IT ndio wangekuwa operators...sijui hata utaratibu wa kuwapata hawa operators ulikuwaje...wengi wao uwezo wa kutumia computer ni mdogo mno...
Nashauri mweke "spelling-cheker" humu @ Max Melo
.Kazi ya uandikishaji kwenye daftari la kudumu la wapiga kura jijini Dar inaendelea bomba maana walengwa ambao ni watu wenye umri kuanzia watakaofikia miaka 18 ifikapo Oktoba wanaendelea kujiandikisha na kupewa vitambulisho vyao za kupigia kura, changamoto zilizojitokeza zimnaendelea kutatuliwa na watu wanaendelea kumiminika kujiandikisha ili wawe washiriki halali wa maamuzi ya hatima ya Tanzania kuwapata Viongozi. Ndg, kama bado hujaenda kujiandikisha amka nenda kajiandikishe sasa
Una maana "spell checker"?
Asiyependa kuona vyaelea, ni laziama kiroho cha kwatu aanze kuvuruga hata vitu vya msingi. Jamani, nia na lengo ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa kulingana na wakati. Watu siku zote wanapenda kwenda mbele na siyo kurudi nyuma. Unapozungumzia sayansi na teknolojia maana yake nini? Usiwe myopic katika issues.
Wala hatuna ugumu wa kukubali mabadiliko, ugumu wetu unakuja pale serikali haijajiaanda katika haya madadiliko. kuandikishiana tu kumeleta kizungumkuti, je kupiga kura itakuwaje? Hizo machine pia zitakuwa zinahamishwa na kupelekwa mikoani watu wapige kura? mitigator usiwe na akili za kiccm kulazimisha mambo hata kama hayawezekani. Kiukweli swala la kupiga kura kwa BVR halitowezekana na kufanikiwa kamwe. Ni bora wangetumia mfumo wa zamani halafu hiyo BVR itume 2020
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah
We UngaUnga, either akili zako za kuunga unga au unatumia kile kitu cha kubwia.
Mashine za BVR ni hatua moja mbele ya mafanikio kuelekea kwenye upigaji kura kihalali, hakuna kupiga (kujiandikisha) kura mara mbili wala wafu nao kupiga kura.
Haya matatizo yanayojitokeza yatarekebishwa kadri muda unavyokwenda; na kumbuka tena changamoto kwenye vitambulisho vya uraia.
mbona mi naona ni zoezi zuri kabisa kwa ajili ya uchaguzi.tena nadhani serikali inataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwani bvr inamalizia kuandikisha nchi nzima wakati vitambulisho vya taifa bado mikoa kibao.ile mifinger print yetu ndo itarahisisha kazi ktk kutafuta wahalifu ambao wanashamiri kila kukicha
Sasa tofauti yake nini?Fanya kurekebisha ni feasibility
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah
kutakua na mfumo mwingne wakati wa kupiga kura,kura haziwezi kupigwa kwa awam kama ilivyofanyika kwenye uandikishaji.Bvr kit 8000zitawezaje kutosha nchi nzima?ni hesabu ya kawaida tu bila hata kuambiwa!!.Changamoto zinazojitokeza dar kwa sasa haziwezi kubatilisha mafanikio ya zaidi ya mikoa 20,ubishi wa namna hii utakua ni wakiwendawazimu.Wala hatuna ugumu wa kukubali mabadiliko, ugumu wetu unakuja pale serikali haijajiaanda katika haya madadiliko. kuandikishiana tu kumeleta kizungumkuti, je kupiga kura itakuwaje? Hizo machine pia zitakuwa zinahamishwa na kupelekwa mikoani watu wapige kura? mitigator usiwe na akili za kiccm kulazimisha mambo hata kama hayawezekani. Kiukweli swala la kupiga kura kwa BVR halitowezekana na kufanikiwa kamwe. Ni bora wangetumia mfumo wa zamani halafu hiyo BVR itume 2020
Sasa tofauti yake nini?
Au umetaka tujue kuwa u nafahamu kikristo?
Feasibility study ndio upembuzi wenyewe aliousema Mleta Uzi.