Hakukuhitaji hata hiyo feasibility study.Ilitaka weledi tu wa viongozi husika.Mashine tulizoletewa ni bomu kama siyo used items basi ni outdated machines.
Ulaji umeikosesha Taifa kupata BVR kits nzuri zanye quality y hali ya juu na kwa bei nafuh zaidi,kama tu ile ofisi kuu isinveingilia mchakato mzima kwa kifikiria asilimia kumi.
Serikali ya Sweeden ilikuwa tayari kutoa BVR kits 15,000 kwa bei nzuri zaidi wLichosema wao ni kwamba watakuja na experts wao na kutrain watu wa kuhudumia kits hizi hivyo ni pamoja na waandikaji!
Viongozi wetu walifikiria 10% na namna gani watoto wao watapata kazi na walifikiria namna gani watazuia watu wengi kujiandikisha na hasa vijana.
Tuwalaumu PM na Mwenyekiti wa Tume ,hawa ndiyo wNatakiwa kutueleza ilikuwaje Zanzibar wana mashine zilizokwenda shule(Quality BVR kits,and brand new) sisi tuwe na z kichina ,underquality na used ifnot second hand.Ni aibu.Jamani kama kuna mzanzibar humu basi ZEC Zanzibar ni ya kupewa Hongera sana sana.
Hongereni ZEC,I wish Lubuva angeiga kwa yule kijana wa ZEC.Nikisema kijana ninamaana umri ni kijana kweli.Hongera sana.