Barbarosa JF-Expert Member Apr 16, 2015 22,584 27,811 Mar 28, 2017 #1 Waziri wetu wa Sheria akiwasili Ofinisini kwake kwa mara ya kwanza ndani ya Dodoma yetu! Akipokea Kadi ya karibu! (Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!)
Waziri wetu wa Sheria akiwasili Ofinisini kwake kwa mara ya kwanza ndani ya Dodoma yetu! Akipokea Kadi ya karibu! (Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!)
M mwakijembe JF-Expert Member Mar 20, 2017 1,664 2,324 Mar 28, 2017 #3 Atakuwa amekabidhi akili yake hapo magogoni, atakuwa anasubiri remote tu ibonyezwe afuate amri.