Hujawahi kutafutwa na serikali hasa Kwa Jambo linalojulikanaHamna kitu kaa ichoo
Time will tell.Crap
HAKUNA KITU UMEKUJA KUPIMA UPEPO???Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.
Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.
Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
we ni zero brain!Benard Membe hawez kujishusha kwa Magufuli kwasababu ana kiburi cha kwamba yeye anakijua chama kuliko Magufuli, anasahau kwamba mambo ya kujua chama yamepitwa na wakati , amuulize Lowassa ambaye alisema ambaye hamtaki CCM ahame yeye, lakin tukashuhudia yeye akihamia kwenye ka ofis ka pale Ufipa kana Joto na ndo maana wakaanza kwamba ujio wa Lowassa utakuwa na ,,,,, na,,,,, na akatamani sana kurudi CCM mi leo nimelewa naishia hapa
hakuna ambaye atatafutwa kwa rushwa na akosekane nchi hii.Hujawahi kutafutwa na serikali hasa Kwa Jambo linalojulikana
Anayo. Ila mazuri yake ndio mengi. Alinselema mpaka 2025.Huyo mkuu yeye hana makandokando?