Waziri wa viwanda na boashara je upo??

Serikali imeagiza sukari kutoka Nje.Bei ni 3800-4,000 sio 4,500 na zimepanda wiki 2 zilizopita
 
Mimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia
Yule waziri pale kazi kung'ata midomo na kulamba lips tu halafu vitu vinapaa bei
 
Aiseeee Mama endelea kuupiga mwingi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umasikini wa akili mbaya sana, halafu utawaliwe na wenye tamaa na wizi ndio kabisaaa
Mito hiyo 19 wangeruhusu
hata baadhi Waka divert kwa ajili ya umwagiliaji sidhani kama kungekuwa na tatizo

Kaeni mnawaangalia wakipita na V8 huku wakiwamwagia na maji machafu
 
Huyu mswahili atakuwa Kondoa analoga vizuri
 
Mimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia
Yule waziri pale kazi kung'ata midomo na kulamba lips tu halafu vitu vinapaa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…