Kwa Maoni yangu, nadhani tunapaswa kumhurumia mh Mwakyembe kwa mizigo mikubwa aliyonano ktk kutekeleza Malengo ya Wizara yake na Serikali kwa ujumla, hivyo suala la Bandari bubu, kupakiwa na kushushwa kwa mizigo na hatimaye kukosekana kwa mapato, bila Shaka lingepaswa kupatiwa ufumbuzi wa kudumu na Mamlaka mbalimbali ktk Ngazi za kijiji/ mitaa husika, kata, tarafa, hadi Wilaya. Kwa kumpatia majukumu mengi na mengine yaliyo Nje ya Mamlaka ya Mh Waziri, licha ya kumchosha, lakini pia inasababisha anakuwa na Jazba, anakurupuka kutoa maagizo na maelekezo ambayo licha ya kutokutekelezeka, lakini pia wenye Mamlaka ya kufanya kazi hizo humpuuza na kumbeza!!!
Kila kiongozi awajibike ktk nafasi yake kutimiza wajibu wake! Inawezekana!!