Waziri wa Nishati ukitaka upunguze uozo Wizara ya Nishati anza na MD na Menejimenti

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,387
Nakushauri iyo wizara ukiendeleza uliyoyakuta mwaka hautaisha utatolewa.

Ili kurudisha ufanisi kwenye hii wizara yenye kashifa ya ufisadi

Nakuomba

Timua MD wa Tanesco

Timua Manejement yote

Nakushauri kabla haujaharibikiwa

Kuna wataalamu wengi na wazalendo waliondolewa hapo kutokana na uzalendo wao warudishie wakusaidie
 
Hana mamlaka hiyo. MD ni mteule wa Rais, menejimenti inaajiriwa na bodi ya wakurugenzi.

Anachoweza kufanya ni kushauri mamlaka itengue na kuteua wapya.

Ila kusema ukweli Doto anatakiwa kufanya usafi kwenye hiyo wizara. Yule kijana wa Makamba ni mtu wa ajabu kabisa.

Alafu baada ya uharibifu wote ule anazawadiwa uwaziri wa mambo ya nje?? Afrika itaburuza mkia milele kwasababu ya uongozi mbovu.
 
Safi sana. Akina bakgaressa wapo pale kuipaisha tanesco.
 
Ni kwei Mh. mwezi wa kwanza alijitengenezea mazingira ya kula rushwa. Same kwa Jerry Slaa ambaye kaanza kuchimba biti kwa kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta, sasa maana yake wenye ujenzi wanaoendelea inabidi wapeleke kitita cha ili kuendelea na ujenzi kama kila mjenzi atatoa 10mil mara miradi 10 tu ni mil 100. Watu wanapiga hela kwa rushwa siyo mchezo
 
Nakushauri iyo wizara ukiendeleza uliyoyakuta mwaka hautaisha utatolewa.

Ili kurudisha ufanisi kwenye hii wizara yenye kashifa ya ufisadi

Nakuomba

Timua MD wa Tanesco

Timua Manejement yote

Nakushauri kabla haujaharibikiwa

Kuna wataalamu wengi na wazalendo waliondolewa hapo kutokana na uzalendo wao warudishie wakusaidie
Kabla ya kuondolewa Waziri wa Nishati,Rais atashauriana na Waziri Mkuu,Naibu Waziri Mkuu (Dotto Biteko) na Makamu wa Rais ili kumuondoa Waziri wa Nishati Dotto Biteko!
 
Hana mamlaka hiyo. MD ni mteule wa Rais, menejimenti inaajiriwa na bodi ya wakurugenzi.

Anachoweza kufanya ni kushauri mamlaka itengue na kuteua wapya.

Ila kusema ukweli Doto anatakiwa kufanya usafi kwenye hiyo wizara. Yule kijana wa Makamba ni mtu wa ajabu kabisa.

Alafu baada ya uharibifu wote ule anazawadiwa uwaziri wa mambo ya nje?? Afrika itaburuza mkia milele kwasababu ya uongozi mbovu.
Mzee wa Maokoto January,nimemuona leo Nairobi anakagua eneo ambapo litajengwa jengo la Ubalozi wa Tanzania.
Hapo kanusa maokoto tayari!
 
Nakushauri iyo wizara ukiendeleza uliyoyakuta mwaka hautaisha utatolewa.

Ili kurudisha ufanisi kwenye hii wizara yenye kashifa ya ufisadi

Nakuomba

Timua MD wa Tanesco

Timua Manejement yote

Nakushauri kabla haujaharibikiwa

Kuna wataalamu wengi na wazalendo waliondolewa hapo kutokana na uzalendo wao warudishie wakusaidie
Wizara ya Nishati bila kuwajibishana ni kazi bure
 
Hana mamlaka hiyo. MD ni mteule wa Rais, menejimenti inaajiriwa na bodi ya wakurugenzi.

Anachoweza kufanya ni kushauri mamlaka itengue na kuteua wapya.

Ila kusema ukweli Doto anatakiwa kufanya usafi kwenye hiyo wizara. Yule kijana wa Makamba ni mtu wa ajabu kabisa.

Alafu baada ya uharibifu wote ule anazawadiwa uwaziri wa mambo ya nje?? Afrika itaburuza mkia milele kwasababu ya uongozi mbovu.
Waziri anaweza kuwatimua vizuri tu,

Anamwambia Rais awatafutie pa kwenda.

Magu aliporudi ujenzi akitokea mifugo, alisafisha mbona.
 
Nakushauri iyo wizara ukiendeleza uliyoyakuta mwaka hautaisha utatolewa.

Ili kurudisha ufanisi kwenye hii wizara yenye kashifa ya ufisadi

Nakuomba

Timua MD wa Tanesco

Timua Manejement yote

Nakushauri kabla haujaharibikiwa

Kuna wataalamu wengi na wazalendo waliondolewa hapo kutokana na uzalendo wao warudishie wakusaidie
Angle ya nishati ni kitengo cha kupigia hela na madili, usitarajie makubwa humo!!
 
Nakushauri iyo wizara ukiendeleza uliyoyakuta mwaka hautaisha utatolewa.

Ili kurudisha ufanisi kwenye hii wizara yenye kashifa ya ufisadi

Nakuomba

Timua MD wa Tanesco

Timua Manejement yote

Nakushauri kabla haujaharibikiwa

Kuna wataalamu wengi na wazalendo waliondolewa hapo kutokana na uzalendo wao warudishie wakusaidie
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi yoyote ya Serikali hapa nchini ni mteule wa Rai's na Waziri hana uwezo wa kumtoa DG yeyote bila kuomba kibali kutoka kwa Rai's.
Back to MD wa Tanesco, Biteko hana mamlaka ya kumtoa hadi Rai's Samia aridhie. Je Biteko yupo tayari kuwasilisha nia yake ya kumwondoa Maharage Chande kwa Rai's?! What if kama Rais ana ukaribu sana na Maharage na wanaelewana?! Ataruhusu atoke?! Mwisho wa siku Biteko ndo atafurushwa vibaya sana kwenye hiyo Wizara kwa kile kinachoitwa kuchochea migogoro ktk maeneo ya kazi. Haya mambo yanahitaji kucheza kwa steps Na Biteko siyo mjinga hata aende kichwakichwa.
 
Chuki yenu kwa Makamba isihamishiwe kwa wafanyakazi wengine wizara ya Nishati.

Visasi havijawahi kuleta amani popote duniani.
 
Ilikua makamba sasa imekuja kwa MD mwisho mtasema hata waziri huyu nae hafai na watumishi wote wa tanesco wafukuzwe.
 
Bado haijatosheka uyo maharage na makamba wafanya ufisadi wa kutisha hapo wizara ya nishati
 
Back
Top Bottom