Waziri wa nishati..anza na hili Arusha!

Waziri wa nishati..anza na hili Arusha!

sigienet

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
57
Reaction score
3
Kuna adha ya upungufu wa MITA za luku pamoja na nguzo. Imekuwa ni kupokezana, mwaka jana taarifa ktka ofisi za Tanesco mita zilikuwa haba. Cha kushangaza mwaka umeanza, wateja wote wahaohitaji nguzo hawapatiwi huduma. Ni miezi sasa imepita. Tumechoka kusubiri................. Anza na hili.
 
Back
Top Bottom