Waziri wa mifugo na uvuvi mulika idara zako za uvuvi

jambo Tanzania

JF-Expert Member
May 29, 2017
377
281
Wakuu wako wa idara/vituo vya uvuvi ni mbumbumbu na elimu zao ziko chini sana hasa mipakani yaani ni vituko. Kwanini usitafute wasomi wapo kibao kuiwakilisha nchi yetu vyema?

Kuna mmoja hadi anatia huruma. Tulienda kutengeneza document ili tulete samaki toka nje ya nchi. Yaani anatetemeka mikono hata kujieleza hawezi.
 
Back
Top Bottom