MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Haiwezekani watu waishi kwa hofu kubwa na mali zao,haiwezekani raia wakamatwe na kupotezwa halafu wakamataji hawajulikani. Haiwezekani kuwa na waziri asiyechukua hatua yupo kwenye matamko tu, mimi kama raia mwema nasema kuwa hili sio jambo jema kabisa.
Mtu anatisha watu silaha hadharani na sura iko kwenye kila media halafu kimya kimetanda hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa, tumechoka tumechoka sana na haya.
Tusisubiri mpaka bunge lipatwe na hasira juu ya matukio haya kumwajibisha waziri wa mambo ya ndani, sisi Kama raia tuna kila sababu ya kutoka nje kupasa sauti zetu na kusema sasa inatosha haiwezekani hatujayazoea haya. This is too much, it is so bad.
Kwanini waziri yuko kimya hatoki akavaa Kombati akaungana na wanausalama wote nchini kuyasaka maharamia haya? Wariziri anasubiri nini kuachia ngazi Kama anaona kiatu chake kimempwaya?
Waziri anaonekana mwoga! mwoga! mwoga kuchukua hatua as if sio waziri mwenye dhamana na usalama wa raia na mali zao. Kuna taharuki na hofu zilizotanda ndani ya nyoyo za watu, watu hawafurahii ndani ya taifa lao wamebaki kusononeka.
Waziri wa mambo ya ndani achia ngazi, wapishe wanaoiweza kuifanya kazi hii na kama hakuna basi hata Mh Rais anaweza kubaki na wizara hii kwenye mikono yake ili achukue hatua.