Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amefiwa na mwanae

Oh no!! Too early to go... We parents would like not to out live our sons and daughters. RIP young one. Poleni Kigwa,s family
 
Waziri wa Maliasili na Utalii Hamis Kigwangalla amefiwa na mtoto wake anayefahamika kwa jina la Zul, ambapo mazishi yatafanyika kesho saa 10 Wilayani Nzega kwa sasa msiba upo nyumbani kwa Waziri makumbusho nyumba za Mawaziri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Nyumbani kwa Mh. Hamis K ni Mikocheni katika nyumba za Mawaziri na sio Makumbusho.
Pumzika kwa Amani Zulfikar. Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba. Bila kuwasahau wana Nzega.
 
Back
Top Bottom