Rais magufuli aliahidi na baadae kuagiza akiwa kama Rais kuwa wale wawekezaji wote ambao wanamiliki mashamba makubwa na hawajayaendeleza kwa muda mrefu watanyang'anywa na ardhi hiyo watapewa wananchi.

Kuna watu wengine usijibizane nao kama weweNi sawa kwasababu ni mali ya wananchi kugawa ni mipango hajato hiyo ardhi hajatoa kenya bali ni mali ya watanzania hakuna jipya hapo.
swissme
Ardhi haitatosha milele kama tusipokumbatia usasa katika matumizi ya ardhi....kuna watu wana ekari mbili wanazalisha mamilioni,kimsingi watanzania hawana shida ya ardhi bali wana shida ya maarifa ya kisasa ya kufanyia shughuli zao juu ya ardhi,greenhouse,kilimo cha mjini,fodder,utawagawia wangapi na utaacha wangapi wakati kila siku wanazaliana?na mungu aliumba dunia mara moja tu,wanaozaliwa kesho utawapa nini?
Rais magufuli aliahidi na baadae kuagiza akiwa kama Rais kuwa wale wawekezaji wote ambao wanamiliki mashamba makubwa na hawajayaendeleza kwa muda mrefu watanyang'anywa na ardhi hiyo watapewa wananchi.
Bado wapiga siasa kufurahisha ummaUmeongea point moja nzuri sana ambayo sijui kama watunga sera wanalifahamu hili..
Bado wapiga siasa kufurahisha umma
Ilanga morogoroMkuu ni wapi huko alikogawa ardhi, maana speaker yangu yawezekana mbovu sijasikia jina?