waziri wa jinsia uko wapi?

Bado vichwa vya waafrika vinafikra mgando, Ona hata uzi unaoanzishwa, michango mingine ni ovyo kabisa!
Itachukua muda kubadilika, mleta mada kaulizia maswala ya makundi haya kutendewa "ndivyo sivyo", watu
wanalewa mzaha! ovyo kabisa!
 
Yule Mwenyekiti wa UWT!
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

We .......unatafuta ...hapa
Mtu mzima ovyo
 
Hii Dunia sasa watu hawaoni huruma kwa wengine
 
hapo ndipo tunapobaini wabunge wamekwenda mjengoni kwa maslahi ya nani. tumeona ushahidi wanapodai pesa zaidi. ma tunaona tena wanaposhindwa hata kudai uchunguzi juu ya mkasa huu.
 
Waziri wa wanawake, Jinsia na Watoto kazi yake ni kuwatisha wanawake walioolewa na wapinzani....Wasiwape unyumba mpaka watakapohamia CCM.
 
:A S 39: Tanzania ukiteuliwa wadhifa fulani basi na uhuru wa kufikiri unaondolewa
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

Huyu ndiyo moja ya kijana imara wa Chama cha Mchina akiwakilisha Wachina wenzake
 
Katika wanawake wanaofanya kazi kwa maslahi mapana ya Taifa ni Bi Joyce Kiria. Anafanya kazi zaidi ya viongozi wetu tuliowachagua kutuongoza na hata kututetea huko Bungeni. Mbaya zaidi wabunge wengi hasa wanawake wamekuwa wakila bata tuu badala ya kupigania masuala kama haya ya unyanyasaji dhidi yao.

Tumuunge mkono Bi Joyce aendelee kuwaonyesha wabunge na viongozi wetu jinsi ya kutumikia wananchi na siyo wao wabobee kula nchi.
 
Sijawahi kumsikia Sophia Lion akikemea haya, really too sad! Watu wanajichukulia sheria mokononi

Si yeye tu, bali wabunge wote wanawake hawajalichukua suala la Ukatili dhidi yao kama Agenda muhimu sana, na wakaisukuma kwa nguvu.

Kazi ni kusema "Wanawake Tunaweza" naona wanaweza kujichubua tu na siyo kuwasaidia wenzao waliowatuma Bungeni kuwapigania hasa kwa mambo ya msingi kama haya ya ukatili, Huduma mbovu za Afya, Maji n.k
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
wewe siyo mzima una matatizo sijui tindikali imekujaje hapa
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

Damu na kilio cha hoa mama kiwe juu yako na uzazi wako.
 
Wako wapi wanawake wanaoweza kumtetea yule yatima aliyebakwa na kigogo? Au ni kwa sababu ni mwanachama na kada wa chama chetu?? Kuna wizara kweli inayotetea wanawake?
 
Yuko bize na vijana wadogo wadogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…