Waziri wa Habari, Nape Nnauye: Nitawatembelea Clouds Media kesho kujua kilichotokea

Naona makonda kafanikiwa kuibomoa ngome iliyoonekana imara sana kati ya ccm na waandishi.

Wasanii juzi tu wamevurugwa na makonda akiwakamata kama mende

Leo aliyekuwa gwiji wa idara ya burudani wakati wa kampeni za ccm Ruge mutahaba kanaswa kwenye mtego wa makonda,katupwa lokapu amekaa na wahalifu wengine.

Who is next?
 
"Kesho asubuhi kama Waziri mwenye dhamana na HABARI nitatembelea Clouds kujua kilichotokea, nawaomba sana wanahabari KUTULIA" -@Nnauye_Nape millard ayo on Twitter
Screenshot_2017-03-19-15-21-55.png
 
  • Thanks
Reactions: 247
Naona makonda kafanikiwa kuibomoa ngome iliyoonekana imara sana kati ya ccm na waandishi.

Wasanii juzi tu wamevurugwa na makonda akiwakamata kama mende

Leo aliyekuwa gwiji wa idara ya burudani wakati wa kampeni za ccm Ruge mutahaba kanaswa kwenye mtego wa makonda,katupwa lokapu amekaa na wahalifu wengine.

Who is next?

Embu kaa kando na Makonda

Hamchoki kumchafua kisa ameweza kudhubutu kupambana na matatizo yaliyozoeleka katika mkoa wake?

Na bado hapa kazi tu

Makonda oyeeeee
 
Ha ha haaaa

Kisa udaku wa mitandaoni au?

Amepewa ripoti na polisi kuombwa aende huko?

Si awasiliane na wakuu wa Clouds wamueleze hata leo?

Anashindwa nini wakati kutetea wahofu wa bange na ngada alikwa anapatika kwa simu?

Makonda kweli ameweza naona wanaomchukiq wanapata pa kudandia sasa

Yangu macho, now time for popcorn niangalie movie

Makonda oyeeeeeee
 
Back
Top Bottom