We si tumeambiwa ndege tumenunua cash na reli tunajenga kwa fedha zetu ndio maana mambo mengine yamesimama,sasa unasemaje tena ni hela ya mkopoKila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
Maendeleo ndo kujenga airport kijijini..??? Utamuungaje mkono?? Brother, are u serious..??Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
Mkuu hujiulizi hizo fedha za deni zinazokopwa zinaenda wapi???unakumbuka magufuli alisema miradi yote ya ndani inajengwa na fedha za ndani????Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.
Hahaha kwa nini mkuu?wanaotukopesha nao hamnazo!
possibility ya ku-default hii mikopo ni kubwaHahaha kwa nini mkuu?
Kiongozi toka familia duni lini akajua chakufanya mkuu?Maendeleo ndo kujenga airport kijijini..??? Utamuungaje mkono kichaaa..??? Brother, are u serious..??
Kila nchi inadaiwa. Swali la muhimu ni je hizo pesa zinatumika kwenye shughuli za kuleta maendeleo? Kama jibu ni ndiyo hakuna shida. Wanajitahidi kujenga infrastructure hilo Magu ntamuunga mkono.