Wewe ukisoma hichi ulichoandika hapo juu unaelewa? Mkuu wewe ni miongoni mwa wanafunzi wa Magu kipindi akiwa mwalimu au mbona uko shallow hivi.Hii dukawalla thinking Ni hatari kuitumia kujadiliana uchumi wa nchi. Tatizo lenu nyiebnibukosefu wa intellectual missiles. Kwenye national economy hatujadili cash balance. Laiti ungejua kuwa hata mkopo unaweza kuwa liquid 'documentary credit' pia. Nyie shughuli udalali wa microfinance ndio shughuli mnayoiweza ya dukawalla. Big thinking tuwaachie akina Mpango. Kitabu chenu kimefungwa.