Waziri wa elimu mbona hatangazi matokeo std vii ?

..vumilia huenda th 21 au kabla kidogo. lakini haipiti x-mas hawajatangaza. Watoto wamefeli sana hadi shule zingine zilikuwa zinapata wanafunzi tisa tu badala ya 100 wanaotakiwa/ Hivyo wameshusha pass mark ili kupata idadi inayotakiwa!!! WAHUSIKA WAMERUDISHWA TENA KAZINI NA WAMEPEWA SIO ZAIDI YA SIKU TATU KUKAMILISHA ZOEZI HILO....

Sasa kama wameferi kuna haja gani ya kushusha point za ufaulu, huu si ndio mwanzo wa kujenga Taifa la vihiyo?!
 
Back
Top Bottom