Ninahamu sana kutaka kujua matoke ya DRS la VII yamekaaje mwaka huu kulingana na mazingira ya mwaka huu wakati mitihani ilikuwa imetanguliwa na mambo kadhaa hasa kubwa ni lile la mgomo wa walimu kutokana na kulipwa maslahi DUNI hali iliyopelekea mgomo ambao ulitikisa na serikali kuupuuza hatimae walimu kurejea madarasani hiku wakiapa kutoka sare ya bila bila mwaka huu je wametekeleza au bado. Tulishuhudia sms zilizokuwa zikisambazwa kwa walimu kuwa Tangu sasa ni Kufundisha kadri unavyolipwa. Lipwa kidogo fundisha kidogo Je, wamefaulu au la!
Tumechoka Kususubiri matokeoWakati wa Bunge nilisikia Waziri kivuli wa elimu akimfagilia Kamishna mpya wa Elimu kuwa ni mchapa kazi, wadau niambieni hivi mpaka sasa ameleta impact gani? Wizara ina matatizo lukuki, wasiojua kusoma na kuandika wanazidi kuongezeka na wengine wanafanikiwa kwenda sekondari. Matokeo ya Darasa la saba wameyakalia walisema yatatangazwa Jumatano imepita na wala hakuna kilichoelezwa mpaka sasa.
Wizara ya Elimu mnatupeleka wapi au ninui mlioko hapo wizarani elimu yenu ni feki?
Eeh Mungu inusuru nchi yetu na majanga ya kielimu
waziri wa elim muislam unategemea nini zaidi ya malalamishi ya mfumo kristo na kuonewa?