Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Waziri wa Afya, ummy mwalimu amesema kufuatia tathimini ya Shirika la Afya duniani ya kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola katika nchini jirani ikiwemo Tanzania, Serikali inatoa tahadhari kwa wananchi kuwa tuko katika hatari ya kupata ugonjwa wa Ebola.
Waziri ametoa wito kwa wakuu wa mikoa hasa wa mipakani kuitisha vikao vya Afya msingi na kujadili ni jinsi gani watakavyokuwa tayari kukabiliniana na ugonjwa wa Ebola pindi watakapopata taarifa za uwepo wa Ebola
Waziri pia amesema tukiruhusu kupata mgonjwa hata mmoja tu wa Ebola nchini tutakuwa na hatari ya kila mmoja wetu kuambukizwa ugonjwa huo hatari