Waziri Ummy Mwalimu umeonesha Mfano wa kuigwa kwa kushiriki mjadala wa Clubhouse

Unko T

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
200
266
Nitoe hongera za dhati kwa waziri wa Tamisemi kwa kushiriki kikamilifu na kusikiliza mijadala ya wananchi mbalimbali hapo clubhouse.

Umekua muwazi kuwa ni mara ya kwanza kwako kutumia clubhouse, mimi binafsi nimefarijika sana mtunga sera akishiriki pamoja na wananchi.

Natamani kuona Rais Samia na mawaziri pamoja na wabunge wakishiriki hizi hoja za Clubhouse na Twitter spaces.

Hii ni maana ya viongozi kuwa karibu zaidi na wanao wahudumia.

Pongezi kwa JamiiForums kwa kuanzisha mijadala hii na hongera za dhati kwa Max na Miss Ndosi kwa kuongoza mjadala.

Keep up the good work change makers!!!
 
Back
Top Bottom