Kama imeshindwa kuzalisha, kusambaza ndio haiwezi kabisa. Mzalishaji huwa hana kazi ngumu kama msambazaji, maana msambazaji ndie anaepambana na vishoka. hiki ni kitendawili tega.Ukurasa wa Nne wa Gazeti la Nipashe la leo Umeandikwa hivi; TANESCO IMESHINDWA...
Waziri wa Nishati akiri kushindwa kwa Tanesco kuzalisha umeme, kwa hiyo sasa Shirika hilo litabakia kama wasambazaji tu, wa huduma hiyo! Uzalishaji utafanywa na makampuni ya nje na ndani ya Nchi.
NB
nilishaweka humu taarifa kutoka kwa mtonyaji wa kutoka shirikani kuhusu mpango wa kuligawa shirika hili kwa maharamia ili kupunguza mapato ya serikali.
Wamehakikisha wamelidhoofisha shirika lisiweze kufanya kazi ili kutimiza AZMA yao.
WITO
Bunge liunde kamati maalumu kufuatilia undani wa kulifikisha shirika ktk kushindwa kuhudumia kama litakiwavyo. Na pia kuichunguza kauli ya Waziri kuona kama kuna uingiliwaji kisiasa kwenye utendaji wa shirika. Tuna haki ya kujua ili kuliboresha.
ENRON case
Hapana mkuu.Kama imeshindwa kuzalisha, kusambaza ndio haiwezi kabisa. Mzalishaji huwa hana kazi ngumu kama msambazaji, maana msambazaji ndie anaepambana na vishoka. hiki ni kitendawili tega.
Mkuu unakumbuka hata Karamagi, Msabaha na Lowassa walikuwa very positive kuhusu issue ya kuinginza mkenge serikali kupitia mkataba wa RICHMOND?Akili za kuambiwa jaribuni kuchanganya na zenu, mie nimemsikia waziri wakati anazungumzia jambo hilo alikuwa very positive....
Ni jambo la kusikitisha na kutia simanzi kwa viongozi wetu kila mara kujaribu kubuni mambo mapya ambayo hayajafanyiwa utafiti na kuanza kuyafanyia kazi!
Ni kweli kuwa TANESCO kuna matatizo ambayo baadhi yamesababishwa na utendaji mbovu ndani yake lakini pia kuna matatizo yamesababishwa na serikali!!
Hivyo kinachotakiwa ni kuyarekebisha na siyo kulifumua shirika! Serikali inapaswa kuiacha TANESCO huru ili iweze kukabili na kutatua matatizo yake na siyo kupeleka siasa!
Lakini upungufu wa bei za simu za mkononi na wingi wa wateja kwa makampuni hayo kunawiana na ukusanyaji mapato kutoka kampuni hizo?Acha tu na makampuni mengine yaingie ubia nakumbuka enzi za TTCL jinsi gharama za kupiga simu zilivyokuwa juu kina vodacom wametusaidia huenda bei ya umeme itashuka.
bora watanzania tuutue mzigo huoukurasa wa nne wa gazeti la nipashe la leo umeandikwa hivi; tanesco imeshindwa...
Waziri wa nishati akiri kushindwa kwa tanesco kuzalisha umeme, kwa hiyo sasa shirika hilo litabakia kama wasambazaji tu, wa huduma hiyo! Uzalishaji utafanywa na makampuni ya nje na ndani ya nchi.
nb
nilishaweka humu taarifa kutoka kwa mtonyaji wa kutoka shirikani kuhusu mpango wa kuligawa shirika hili kwa maharamia ili kupunguza mapato ya serikali.
Wamehakikisha wamelidhoofisha shirika lisiweze kufanya kazi ili kutimiza azma yao.
wito
bunge liunde kamati maalumu kufuatilia undani wa kulifikisha shirika ktk kushindwa kuhudumia kama litakiwavyo. Na pia kuichunguza kauli ya waziri kuona kama kuna uingiliwaji kisiasa kwenye utendaji wa shirika. Tuna haki ya kujua ili kuliboresha.
Enron case
Acha tu na makampuni mengine yaingie ubia nakumbuka enzi za TTCL jinsi gharama za kupiga simu zilivyokuwa juu kina vodacom wametusaidia huenda bei ya umeme itashuka.
Ukurasa wa Nne wa Gazeti la Nipashe la leo Umeandikwa hivi; TANESCO IMESHINDWA...