Waziri Stephen Wassira Yuko Likizo Igunga?


Yuko Igunga kama Mwenyekiti wa kamati ya uchakachuaji katika uchaguzi huu mdogo kule Igunga ili kuhakikisha mgombea wa magamba anapata ushindi wa "Tsunami" na inasemekana ataendelea kuwepo huko hadi matokeo yatakapotangazwa rasmi katika wiki ya kwanza ya October, 2011.
 
Kwenye chaguzi ndogo zenye ushindani mkali watu ndo wanapo"kula"... akae Dar ofisini kuna nini? ... Chambi chambi hizo mkuu, Usishangae.
 
Mimi niko huku Gombe National Park........naangalia wanyama katika kudumisha utalii wa ndani....siataki siasa kwa sasa


Wangemchukua huyu kwenda kuongeza nguvu, mikutano yao ingekuwa inapata watu wengi wa kwenda kuangalia na kusikiliza.
 
Wangemchukua huyu kwenda kuongeza nguvu, mikutano yao ingekuwa inapata watu wengi wa kwenda kuangalia na kusikiliza.
<br />
<br />
Unataka kusema watu hawahudhurii mikutano ya magamba
 
amelala mno bungeni inabidi akapumzike maana hakuna jinsi lakini jimbo kwake ndio hivyo tena hana jipya
 

Kwa kweli hata mimi hili linanishangaza sana, sijui likoje bt sikulitegemea kabisa. Cha ajabu akiwa na wanamagamba wenzake huyu bwana hasinzii, shughuri huja pale awapo Bungeni yani ni full kulala, kuna haja ya kumpelekea Blanket kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…