Waziri Stephen Wassira :Ndani ya dakika 45 ITV sasa

Waziri Stephen Wassira :Ndani ya dakika 45 ITV sasa

apolycaripto

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
644
Reaction score
225
Ni kiongozi asiyependeka na wanazi wengi wa CDM na amekuwa akiitwa ''pono'' ama ''mnyama wa gombe''.Mimi sipendi kumuita hivyo ila ninachojua ni Waziri aliyeshikiria mapigo ya moyo ya Kikwete kwani inasemekana kuwa huwa atikisiki na taarifa yoyote kama
maandamano,migomo ama kashfa na mara nyingi amekuwa akimtuliza Bwana Mkubwa na kumpa mbinu za uvumilivu.

Huyu ndiye Stephen Wassira , Mlezi wa CCM mkoa wa Arushana bingwa wa kutatua migogoro ndani ya chama kwa njia ya amani (inavyodaiwa).

Tumsikilize kipenzi hiki cha Mkulu.
 
wasira+chapa+usingizi+4%5B1%5D.jpg
 
Anaongea nini huyu class mamalia?
 
Mbona anaeleweka vzr na anafafanua kwa ufasaha sana mambo,, tatizo wengine mmezoea porojo.
 
mashindano ya u-agli alishika nafasi ya ngapi? au hakuruhusiwa kushiriki kwa kuwa ni different spishi?
 
hana analoliongea zaidi ya kutoa povu tu yaani hata ukimuangalia unaona ubongo wake umepata kiharusi
 
teh teh teh teh! Huyu ndo mshauri wa rais, mlezi wa ccm mkoa wa Arusha, hatishiwi na maandamano wala migomo ya wanafunzi, madaktari, walimu madreva. Atawezaje kutishiwa wakati ni mtaalum wa kumbonji!
 
mbunge wa jilani yake angekuwa na roho mbaya kama yangu angeiwasha makusudi mic kama vp immrekodi tu.
 
muone hivyo hivyo, ni mwepesi kama nini. jana alikurupushwa na wanachama wa chadema arusha hakuna aliye amini kwa jinsi alivyo teleza na kuwaacha wote kiasi kwamba hakuna aliyejua njia alopita.hahahaaa...!!
 
Ninyi Hanna hoja zaidi ya matusi na kejeli.hoja anazofafanua Hanna uwezo wa kuzijibu. Mmekalia uongo na uzandiki.
 
akilisikiliza bunge kwa niaba ya mkuu wa kaya kwa makini halafu akamshauri.
 
Angeulizwa - nini kilikusukuma kuhamia NCCR Mageuzi mwaka 1995 na kufanikiwa kuwa mbunge wa Bunda kupitia chama hicho? Nini kilikufanya urudi CCM miaka mitano baadae? Na kwa vile sasa una uzoefu wa pande zote mbili, Je, kwa mtazamo wako, Katiba ya sasa inavinyima haki zipi vyama vya upinzani, vyama kama chama chako cha zamani cha NCCR Mageuzi na vingine?
 
Sioni sababu ya kumtusi mzee wa watu maana hata ukisoma ulivoandika ts al about attackn his appearence which for my take its our main goal.for those who listened to him jana agree with me kua he answered the qnz vizuri sana and he is one of the cleaneast leaders we have in TanZania
 
Angeulizwa - nini kilikusukuma kuhamia NCCR Mageuzi mwaka 1995 na kufanikiwa kuwa mbunge wa Bunda kupitia chama hicho? Nini kilikufanya urudi CCM miaka mitano baadae? Na kwa vile sasa una uzoefu wa pande zote mbili, Je, kwa mtazamo wako, Katiba ya sasa inavinyima haki zipi vyama vya upinzani, vyama kama chama chako cha zamani cha NCCR Mageuzi na vingine?

tatizo watangazaji wanaogopa kuuliza maswali ya maana wanatafuta yasiyo muudhi mh.alafu unakuta mwandishi hajui kama wasira alisha enda upinzani.tatizo wakisha feli shule ndo wanaenda uandishini.
 
tatizo watangazaji wanaogopa kuuliza maswali ya maana wanatafuta yasiyo muudhi mh.alafu unakuta mwandishi hajui kama wasira alisha enda upinzani.tatizo wakisha feli shule ndo wanaenda uandishini.
Hilo nalo neno
 
Back
Top Bottom