sio chenge hapo?Nani anasema makundi ndani ya CCM yamekwisha? bado yanafukuta. Ingawa SS ameficha majina tunawajua wahusika wakuu wa sakata hili ni.........Lowassa, Rostam na...................
Nafikiri SS ataweza akatusaidia sana kuhusu sakata hili maana kwa kiasi kikubwa ndilo lililochangia kuukosa uspika na anaujua undani wake.
Heshima kwenu wanajamvi,
Tangu mwanzo niliposikia habari za Dowans kulipwa mabilioni ya walipa kodi nilijua uchaguzi 2015 ipo kazi ya ziada kuwashinda mafisadi.Uzoefu unaonyesha wazi serekali itailipa Dowans kwa kasi ya ajabu fedha zitakapo ingia mikononi mwa mafisadi hakuna wa kuwashinda.Nina hamu kubwa kusikia neno kutoka kwa Mkwere atakapokuwa anawadanganya wananchi labda hajui sababu ya kupungua kura zake ni pamoja na kuwakumbatui mafisadi.
Watannzania tuamke tuwape support wapiganaji bila kujali wanawakilisha chama gani,Sitta anastahili sifa kubwa kwa ujasiri wa kutamka hadharani anachokifahamu bila kuuma uma maneno.
KWA HAWA MAFISADI WA DOWANS NA WAFADHILI WAO 'MWENDO WA KUWANYATIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, FAMILIA ZAO PAMOJA NA MALI ZAO NDIO JIBU KWETU VIJANA TANGU SASA:
Wenye magendo na nia ya dhati kuendelea kuhujumu uchumi na KUTAFUNA RASILMALI YA TAIFA BILA HURUMA, nadhani siku si nyingi sana Wa-Tanzania tutalazimika kidogo kuweka AMANI yetu kabatini na UTAWALA WA KIJANJA WA SHERIA na kuzipitia baadaye kidogo ili vijana kwanza tukamalizane kiaina na nyie. Hapo adabu itakwepo.
Ndio, nadhani njia pekee tuliobaki nayo ni hii hapa. Hakika, itabidi na familia zenu popote pale walipo nao kama hawaoni kwamba mnafanya KUFURU vitendo vyenu vinatuelekeza kuchukua hatua za makusudi kabisa ili sasa tuanze tu na nyinyi pamoja na familia zenu popote pale mlipo - KWA MWENDO WA KUWANYATIENI BILA YA KELELE ZOZOTE ZA MWIZI MWIZI - halafu matamu yake yatakua fundisho tosha kwa wengine wengi wa aina yenu.
Nyinyi si ni wajanja, na wanasheria wote mnao, taasisi zote muhimu tayari mmezinunua ndani na nje ya nchi sio??????????? Sawa basi!!! Huu ujinga tutaufumbia macho hadi lini. Ole wake mtu atumie sehemu ya KODI YANGU kuwalipeni ninyi MASHETANI WAKUBWA!!!!!!!!!!
Nao wanafamilia zenu wamekataa katakata kuwashaurini kutufanyia taifa letu huu UBAKAJI WA KUTISHA WA AINA HII, OK!!!!!!!!!! Hivi kwanza wanachi mnaowakilishwa na watu kama hawa mnajisikieje????
Namheshimu sana Samuel Sitta lakini kwa hili naona kachemsha. Kama waziri, ameingia kujibu masuala ambayo si ya wizara yake, yaleyale ya Lyatonga Mrema ninayosikia yakisimuliwa ya kujifanya waziri wa kila wizara (angalao Lyatonga nasikia alipewa ruksa hiyo na mzee Ruksa). Angetolea mchango wake huo kwenye baraza la mawaziri, kazi ya kusema magazetini amwachie waziri mhusika.

kwani amesema nini huyo Sitta? thread imeanza as if kila mtu alimsikia alichozungumza huyo Sitta. iweke vizuri post yako mkuu!
Itabidi tuanze kuwa vizia maana ndiyo njia wanayoiona sahihi kwao...KWA HAWA MAFISADI WA DOWANS NA WAFADHILI WAO 'MWENDO WA KUWANYATIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, FAMILIA ZAO PAMOJA NA MALI ZAO NDIO JIBU KWETU VIJANA TANGU SASA: