Waziri Simbachawene: Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa Dubai upuuzwe!

Ni kama tu mfano umerudi nyumbani bila Gari, wakati uliaga familia yako unaenda nayo Dodomq Kikazi.

Halafu urudi nyumbani kwa Boda boda, Je mke wako hatotaka jibu kuhusu wapi ilipo Gari ya Familia?

Utajibu hivi halafu akae kimya tu?
Kiongozi gani alirudi nchini bila ndege ya Rais?
 
we ni mjinga sn huna akili, ile ni dhamana kama dhamana zingine, ipo siku naweza kuwa kiongozi, sasa kwanini wasinunue kwa pesa zao? akiondoka madarakani mbona haondoki na hiyo V8?
Ushasema "akiondoka". Subiri basi akiondoka upewe wewe upande uende nayo coco beach ukale mihogo ya kukaanga, au siyo?

Unaishi wapi wewe, Kwenu kuna bahari?
 
Simba cha wote mwepesi sana ....hoja yake dhaifu sana ....aseme wamelipa kiasi gani ...sio kupuuza ukweli ....sio siasa ni hela za walipa kodi tunatakiwa kujua aache upuuzi wake na utoto
 
Kwahio iko wapi??
 
Simba cha wote mwepesi sana ....hoja yake dhaifu sana ....aseme wamelipa kiasi gani ...sio kupuuza ukweli ....sio siasa ni hela za walipa kodi tunatakiwa kujua aache upuuzi wake na utoto
Hiyo kesi ilifunguliwa wapi? tunadaiwa shilingi ngapi? tupe ushahidi kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…