Tetere Enjiwa
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 217
- 65
Naona debe la Asha Migiro linazidi kupamba moto.

Nilikuwa sitaki kusema neno kwenye hii topic lakini kwa post yako, imenibidi niseme neno.

Akili yako ilivyo ya kichina unafikiri sofia simba akisema mwanamke awe rais basi inakuwa? Unafikiri katiba inaweza kusema hayo unayofikiri? Omba upangiwe kazi nyingine.....unafikiri cdm na vyama vingine ya siasa vitaweka mwanamke kwa vile ccm imefanya hivyo?

anywayz! Kenge ni kenge tu!!

Unajua kuna wanawake wangapi ambao ni vyuma vya pua katika uongozi ambao sio wanachama wa ccm?

Unafahamu tuna vyuo vingapi na wasomi wanawake wangapi katika vyuo hivyo?

Unajua kuna wataalamu wangapi wanawake katika ngazi mbalimbali za uongozi ndani na nje ya nchi?

Huyu naye amelewa madaraka anafikiri urais ni kama sherehe za kitchen party

Hiyo mbona simple, JK akimaliza muda wake anamuachia Salma Kikwete. Si mnakumbuka ile BABA MAMA WATOTO,akimaliza Salma aanakuja RIZ 1.

............Katika wanawake ambao nadhani wana matatizo makubwa ni huyu mama,mara nyingi uwa hata nikimuona akiongea,au kusikia akiongea uwa nazima TV au Radio,au anajipigia debe yeye awe raisi? wallahi akiwa raisi huyu mama bora niombe uraia wa Somalia.....
Nakumbuka raia mwema waliongelea mkakati wa ndani wa kumuwezesha mwanamama mmoja kukamata urais baada ya mheshimiwa aliyepo sasa kumaliza muda. Hii ilikuwa ni baada ya ile fumua fumua ya kamati kuu kama sikosei. Nadhani ndo haya tunaanza kuyasikia kidogo kidogo. Kuna mtu ameuliza hapo juu kwamba kwa nini Senkoro hakupata support kama suala ni rais mwanamke tu? Ndiyo maana huwa nalipenda raia mwema!!

Hivi tukisema leo tumchague mwanamke kuwa rais.CDM mtaleta mtu gani? Teh teh teh ! Hapo ndo utaona kuwa vyama vingine vya msimu.Mnakimbilia kufagilia makada wa CCM ati wanawake tunaowaamini ni Tibaijuka na Migoro sio Sofia Simba.Vyama vingine bwana vichekesho vimejaa makamanda tu.
kilaza wa aina ya kipekee katika historia ya Tanzania.
Mbona Anna Senkoro akiwa PPT Maendeleo aligombea Urais mwaka 2005 na hatukuona mwanamke yoyote wa ccm akimuunga mkono, kama kweli alidhamiria hiko anachosema leo , alipaswa kuonesha mfano.

Sitegemei la maana kutoka kwa mama sophy simba,. Ova!Nakubaliana hatuhitaji kuchagua rais kwa vigezo vya uanamke au unaume (ambayo tumekua tukifanya for decades uanaume ndo sifa ya kwanza hata kama hatusemi)..tunahitaji mtu mwenye sifa..lakini what's wrong with what she said..kasema ni wakati wa mwanamke kuwa rais..fine wapo wanawake wanaoweza iwe Chadema au ccm au CUF au wapi wakijitokeza wapewe ushirikiano bila kujali ni wanawake.. tuangalie uwezo wao na tuwa;pime kwa kile watakacholeta kama viongozi..
huyu mama atakuwa mchumia tumbo tu huyu ...denda linamtoka anajua kati ya wanawake wenye chance ya kukamata madaraka lazima apate shavu...kama sio kweli inabidi ajibiu swali la nguvu mali
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema angependa kuona mwanamke anakuwa Rais katika moja ya nchi za Afrika Mashariki.
kilaza wa aina ya kipekee katika historia ya Tanzania.
Mbona Anna Senkoro akiwa PPT Maendeleo aligombea Urais mwaka 2005 na hatukuona mwanamke yoyote wa ccm akimuunga mkono, kama kweli alidhamiria hiko anachosema leo , alipaswa kuonesha mfano.