Waziri Sikiliza Kilio Chetu

mkananguja

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Kwani viongozi wa elimu huwa hawasomi siku mojamoja humu JF? ili kujionea jinsi tunavyotoa malalamiko yetu kuhusu ajira, hatuna sehem ya kupeleka malalamiko yetu kama c kwenye mitandao ya kijamii ili na wao waone haraka. Wazir sikia kilio chetu
 
Mvua zinanyesha kulima unashindwa? kuelimika maana yake nini?

ila usjali tarehe 13-20 mwezi huu nilivyopata habari watakuwa wametoa worry out.....!
 
wana watu wao humu... sema sana sana jukwaa la siasa. huku wanajua hatuna uwezo wa kutikisa usalama wa nchi.
 
Mvua zinanyesha kulima unashindwa? kuelimika maana yake nini?

ila usjali tarehe 13-20 mwezi huu nilivyopata habari watakuwa wametoa worry out.....!

tatizo lako unapost huku tumbo lako limejaa uchafu! Hili tatizo si kw wachache tu bali ni weng tena zaid ya walimu,sasa hv unasema akalime wewe umesoma umetumia pesa zako muda wako na plan zako ukamaliza shahada yako ujakosa job!huna mtaji,huna mdhamini huna asset na huna chochote zaid ya vyeti utafanyaje?? Usimdharau aliye na njaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…