Waziri Ole Medeye azomewa...

Inasikitisha sana kama viongozi wanazomewa, hii ni ishara kwamba utawala wa chama tawala upo mbioni kufa!!!!
 
Hapa kinacho jengeka ni Taifa la wazomeaji kutoka chama cha wazomeaji!
 
Namsikitikia ataonja muhula moja tu bungeni,uchaguzi ujao hata udiwani hapati labda kwa wazaramo
 
Chezea vx nyie? Ngoja arudishe pesa za campaign kwa kuenjoy vx na nyumba za uwaziri.
 
ni aibu sana kwa kiongozi wa watu kuzomewa na unaowaongoza.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…